MAN UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 VILLA PARK-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 VILLA PARK-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Manchester United imeitandika Aston Villa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Mabao ya Manchester United yamefungwa na Bruno Fernandes dakika ya 52, Mason Greenwood dakika ya 56 na Edinson Cavani dakika ya 87 baada ya Aston Villa kutangulia kwa bao la Bertrand TraorΓ© dakika ya 24.
Kwa ushindi huo Man United inafikisha pointi 70 baada ya kucheza mechi 34, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na mahasimu wao wa Jiji, Manchester City ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi.

Aston Villa inabaki na pointi zake 48 za mechi 34 pia hivi sasa katika nafasi ya 11.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz