MAN UNITED NA VILLARREAL FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN UNITED NA VILLARREAL FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda fainali ya UEFA Europa League licha ya kuchapwa 3-2 na wenyeji, AS Roma katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali jana Uwanja wa Olimpico Jijini Roma jana.
Mabao yote ya Man United jana yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 39 na 68, wakati ya Roma yalifungwa na Edin Džeko dakika ya 57, Bryan Cristante dakika ya 60 na Alex Telles aliyejifunga dakika ya 83.
Manchester United inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 8-5 baada ya ushindi wa 6-2 kwenye mchezo wa kwanza England wiki iliyopita na sasa itakutana na Villarreal ya Hispania katika fainali Mei 26 Uwanja wa Energa Gdańsk Jijini Gdańsk nchini Poland.


Villarreal imeitoa Arsenal ya England kwa kwa jumla ya mabao 2-1, ikishinda 2-1 Hispania wiki iliyopita na sare ya 0-0 jana London.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz