MAN CITY YAICHAPA PSG 2-0 NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAICHAPA PSG 2-0 NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Manchester City imefanikiwa kutinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Etihad.
Mabao yote ya Man City yamefungwa na mshambuliaji Mualgeria Riyad Mahrez dakika za 11 na 63 na kwa matokeo hayo, wanaingia Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-1 kufuatia kuwachapa PSG 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Paris.
Sasa kikosi cha Pep Guardiola kitakutana na mshindi wa jumla baina ya wenyeji Chelsea na Real Madrid ya Hispania leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London baada ya timu hizo kutoka sare ya 1-1 kwenye mechi ya kwanza Madrid.
Fainali ya Ligi ya Mabingwa itachezwa Mei 29 Uwanja wa Ataturk Olympic Jijini Istanbul nchini Uturuki.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz