MAKUBWA: Mteja Aliyekula Mkate Wenye TOBO Kulipwa Fidia - EDUSPORTSTZ

Latest

MAKUBWA: Mteja Aliyekula Mkate Wenye TOBO Kulipwa Fidia

Kampuni ya Mini Bakeries LTD ya nchini Kenya imeahidi kumlipa fidia mteja aliyelalamika kupitia mtandao wa twitter kwamba alinunua mkate na kukuta kuanzia kipande cha kwanza hadi cha mwisho vina tobo katikati.

Kampuni hiyo ambayo inazalisha mikate ya Supa Loaf, licha ya kumuomba msamaha mteja wake huyo aliyedai kuwa ni mtumiaji wa mkate wa muda mrefu lakini bado haijabainisha itamfidia nini na kwa kiasi gani.

Kupitia ukurasa wa twitter wa Supa Loaf wamendika hivi, "Habari Kellyinyani tumeiona tweet yako, tunaomba radhi pia tunaomba utuandikie anwani ya makazi yako na mawasiliano yako kupitia DM ili tuweze kukulipa fidia".Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz