Makasiriko, Harmonize Aifuata Collabo kwa Madiba - EDUSPORTSTZ

Latest

Makasiriko, Harmonize Aifuata Collabo kwa Madiba

Mwanamuziki na Boss wa Konde Music Worldwide yupo kwa Madiba na amefanikiwa kuingia studio kutengeneza wimbo na nyota wa muziki Busiswa Gqulu ambaye ndiye mwenyeji wake huko nchini Afrika Kusini. 

Harmonize ambaye yupo mbioni kuachia album yake mpya, 'High School' ame-share vipande vya video na taarifa ya collabo hiyo kupitia insta story yake.

Mwanadada Busiswa ni mwimbaji kutoka Afrika Kusini, ambaye amefanikiwa kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Beyonce kupitia mradi wa "The Lion King, The Gift" ambapo alisikika kupitia wimbo uitwao 'The Power' pia ni mshindi wa Tuzo mbalimbali kubwa za muziki ikiwa ni pamoja na za Channel O Afrika.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz