Maamuzi Yaliyofikiwa Kuhusu Mechi ya Simba vs Yanga -Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Maamuzi Yaliyofikiwa Kuhusu Mechi ya Simba vs Yanga -Video-Michezoni leo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kwenye mchezo wa Simba SC na Yanga SC kurejeshewa tiketi zao kwenye mfumo wa kadi za kuingilia uwanjani ili tiketi hizo hizo ziwasaidie kuingia uwanjani na kukaa eneo lile lile alilokaa awali siku na tarehe itakayopangwa kurudiwa mechi hiyo iliyoahirishwa.

 

Aidha, amesema mfumo huo uwaruhusu mashabiki wengine ambao awali hawakukata tiketi waweze kukata tiketi za mchezo huo endapo watataka na kukidhi idadi inayoruhusiwa kulingana na uwezo wa uwanja.

 

Maamuzi hayo yametokana na kikao cha pamoja kilichofanyika kati ya wizara hiyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi, Baraza la Michezo Tanzania na klabu za Simba na Yanga.

 

Maelekezo ya Serikali juu ya hatima ya mechi iliyoahirishwa ya Yanga SC na Simba SC Mei 8, 2021.
1. Mechi itarudiwa (kwa tarehe itakayopangwa.
2. Mashabaki waliolipia kurejeshewa tiketi upya ili waweze kuingia uwanjani
3. Ruksa kwa mashabiki wapya kununua tiketi za kuuona mchezo huo.

The post Maamuzi Yaliyofikiwa Kuhusu Mechi ya Simba vs Yanga -Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz