LUSAJO APIGA HAT TRICK NAMUNGO FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LUSAJO APIGA HAT TRICK NAMUNGO FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 NAMUNGO FC imekamilisha idadi ya timu nane za Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro leo.
Mabao yote ya Namungo FC leo yamefungwa na mshambuliaji wake tegemeo, Relliant Lusajo dakika ya 23, 37 na 43, wakati ya JKT Tanzania yamefungwa na Mussa Said dakika ya 71 na Najim Magulu dakika ya 88 kwa penalti.
Namungo inaungana na Azam FC, Simba SC, Yanga SC zote za Dar es Salaam, Dodoma Jiji FC ya Dodoma, Rhino Rangers ya Tabora, Mwadui FC ya Shinyanga na Biashara United ya Mara kwenda Robo Fainali.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz