Lulu Amtolea Mtu Uvivu, Kisa Mimba - EDUSPORTSTZ

Latest

Lulu Amtolea Mtu Uvivu, Kisa Mimba
Mwigizaji wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amekuwa gumzo kutokana na ujauzito wake hasa za hivi karibuni baada ya kusambaa kwa video zikimuonesha akiwa na ujauzito huo.Lulu amekuwa akiufichaficha ujauzito huo ilihali unaonekana kabisa, jambo ambalo limesababisha baadhi ya watu kumsemasema ndipo Lulu akamtolea uvivu mmoja wa mashabiki hao.

Kuwepo kwa maoni mengi huku akitakiwa kuachia mimba ili watu waone, ndipo Lulu akajibu; “Tabu ninayopata ni kama unayopata wewe ku-comment kwa mhaho na hakuna mimba yako iliyopotea!”
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz