LIVERPOOL YAIFUMUA MAN UNITED 4-2 OLD TRAFFORS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL YAIFUMUA MAN UNITED 4-2 OLD TRAFFORS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI Manchester United wamechapwa mabao 4-2 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Diogo Jota dakika ya 34, Roberto Firmino dakika ya 45 na 47 na Mohamed Salah dakika ya 90, wakati ya Man United yamefungwa Bruno Fernandes dakika ya 10 na Marcus Rashford dakika ya 68.
Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 35 na kusogea nafasi ya tano, ikizidiwa pointi nne na Chelsea ambayo hata hivyo imecheza mechi moja zaidi.

Man United yenyewe inabaki na pointi zake 70 za mechi 36 sasa katika nafasi ya pili, nyuma ya mabingwa tayari, Manchester City wenye pointi 80 za mechi 35.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz