Lamine Moro Awekwa Kitimoto Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Lamine Moro Awekwa Kitimoto Yanga-Michezoni leo

MABOSI wa Yanga jana Jumatano walimuita nahodha wa timu hiyo, Mghana, Lamine Moro kwa kwa ajili ya kusikiliza shauri lake la utovu wa nidhamu.

 

Hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki aondolewe kambini huko Ruangwa, Lindi wakati Yanga ikiwa katika maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC kutokana na ishu ya utovu wa nidhamu.Akizungumza na Spoti Xtra, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, CPA.

 

Haji Mfikirwa, alisema wamechukua maamuzi ya kumuita beki huyo na kufanya naye kikao baada ya kupata malalamiko kutoka benchi la ufundi kwa ajili ya kusikiliza upande wa pili kabla ya kutenda haki kwa kutoa maamuzi.

 

“Benchi la Ufundi limelalamika, na kwa nafasi yao walichukua hatua za awali zilizopo kwenye mamlaka yao, kwa kuwa wamelileta kwa uongozi, sasa ni muhimu tukamsikiliza mlalamikiwa kisha kutoa maamuzi kama klabu.

 

“Suala la Lamine ni la kinidhamu lililoanzia kwenye bechi la ufundi na halihusiani chochote na kuidai klabu na kwamba mchezaji huyo hana deni lolote analoidai klabu kwa mujibu wa makubaliano.

 

“Lamine hadai chochote, hivyo taarifa za kwamba anaidai klabu ni za uzushi na zipuuzwe, suala lake limetokana na masuala ya benchi la ufundi, tutalitolea taarifa baada ya kamati kukaa,” alisema Mfikirwa.

STORI NA WILBERT MOLANDI, SPOTI XTRA

The post Lamine Moro Awekwa Kitimoto Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz