Kocha Yanga na Niyonzima Wafunguka – ” Hatuna Hofu na Simba Kesho” -Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha Yanga na Niyonzima Wafunguka – ” Hatuna Hofu na Simba Kesho” -Video-Michezoni leo

NASSREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga leo Mei 7, 2021 amesema kuwa anatambua kwamba timu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ni timu nzuri ila hana hofu kuelekea mchezo wa kesho Uwanja wa Mkapa.

Nabi kesho atakutana na Gomes wa Simba katika mchezo wa Kariakoo Dabi utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Yanga 1-1 hivyo kesho utakuwa ni mchezo wa kukata na shoka kwa timu zote mbili kuwania pointi tatu.

Kwenye msimamo Yanga ipo nafasi ya pili imekusanya pointi 57 na Simba ipo nafasi ya kwanza imekusanya pointi 61.

Nabi amesema:”Ninaitambua Simba, nimewahi kukutana nao kwenye Ligi ya Mabingwa hata kocha wao Gomes, (Didier) ninamtambua.

 

“Licha ya kwamba Simba ni timu kubwa sina hofu nao nina amini kwamba kila timu ina mbinu zake na aina ya kufanya katika kutafuta matokeo,” amesema.

Nahodha msaidizi wa Yanga Haruna Niyonzima amesema wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa watani wa jadi ana anafahamu vyema kuwa mchezo mkubwa huchezwa na wachezaji wakubwa.

 

 

The post Kocha Yanga na Niyonzima Wafunguka – ” Hatuna Hofu na Simba Kesho” -Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz