Kocha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana TanZebras FC Akabidhi Medali-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana TanZebras FC Akabidhi Medali-Michezoni leo

Kocha wa timu ya mpira wa miguu ya Vijana na Watoto  TanZebras FC, Martin Hammel (kushoto) akimvalisha medali ya silva mmoja wa wachezaji wa timu hiyo, Faridi Abdallah kwa ushirikiano bora wakati wa hafla ya kuwaweka pamoja wazazi na watoto iliyoandaliwa na timu hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mshauri wa timu hiyo, Bishop Bhiye. Timu hiyo ni Muunganiko wa timu ya Tanzania na Ujerumani.

Kocha wa timu ya mpira wa miguu ya Vijana na Watoto  TanZebras FC, Martin Hammel (kushoto) akimvalisha medali ya silva mmoja wa wachezaji wa timu hiyo, Kelvin Mazika kwa ushirikiano bora wakati wa hafla ya kuwaweka pamoja wazazi na watoto iliyoandaliwa na timu hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Timu hiyo ni Muunganiko wa timu ya Tanzania na Ujerumani.

The post Kocha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana TanZebras FC Akabidhi Medali appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz