Kocha Ajiondoa Man Utd Kisa Vifaa Vibovu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Ajiondoa Man Utd Kisa Vifaa Vibovu-Michezoni leo

KUKOSEKANA kwa vifaa muhimu kwa ajili ya mazoezi kumetajwa kuwa chanzo cha Casey Stoney kuamua kujiondoa katika majukumu ya kuinoa timu ya soka ya wanawake ya Manchester United.

Stoney, ambaye amekuwa akiinoa timu hiyo tangu mwaka 2018, amekuwa hana furaha na vifaa na miundombinu wanavyotumia wachezaji wake kwenye viwanja vya mazoezi vya Carrington, huku wapinzani wao, Man City wakidaiwa kuwa na mazingira mazuri.

United hawajatoa tamko lolote kuhusu madai hayo lakini tayari kocha huyo amewasilisha barua yake na ataondoka baada ya msimu huu kumalizika.

The post Kocha Ajiondoa Man Utd Kisa Vifaa Vibovu appeared first on Global Publishers.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz