Kipigo cha Simba 4-0, Sauzi Chawaibua ‘Wabunge wa Yanga’-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kipigo cha Simba 4-0, Sauzi Chawaibua ‘Wabunge wa Yanga’-Michezoni leo

BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni mashabiki wa Klabu ya Yanga wameendeleza utani wa jadi kwa Klabu ya Simba kwa kuonyesha ishara ya vidole vinne baada ya Timu ya Simba QUEEN kutambulishwa Bungeni jijini Dodoma, leo Jumatatu, Mei 17, 2021.

Simba Queen wametambulishwa ikiwa ni siku moja baada ya kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Soka la Wanawake Tanzania jana Jumapili.

Ikumbukwe kuwa, juzi Jumamosi, Timu ya Simba (ya wanaume) ilifungwa na Timu ya Kaizer Chiefs bao 4-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Robo Fainali ya Mabingwa Barani Afrika.

The post Kipigo cha Simba 4-0, Sauzi Chawaibua ‘Wabunge wa Yanga’ appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz