Kinachowatesa Carlinhos, Yassin Chatajwa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kinachowatesa Carlinhos, Yassin Chatajwa-Michezoni leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa sababu kubwa ya nyota wao wawili, Carlos Carlinhos na Yassin Mustapha kuendelea kukosekana kwenye kikosi hicho ni kutokana na nyota hao kupata majeraha ya kuchanika misuli ya paja.

 

Yassin alipata majeraha hayo akiwa na kikosi cha Taifa Stars na hajaonekana uwanjani tangu Aprili 10, mwaka huu ambapo mpaka sasa amekosa michezo minne ya Yanga, dhidi ya KMC, Biashara Unied, Gwambina na Azam FC.

 

Carlinhos yeye alipata majeraha hayo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Tanzania Prisons.

 

Nyota hao wote wameachwa na kikosi cha Yanga kilichoenda mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC utakaopigwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli alisema: “Kuhusiana na Yassin Mustapha yeye alichanika msuli wa nyama ya paja akiwa na kikosi cha taifa, alivyorejea kujiunga na wenzake klabuni alikuwa akihisi maumivu.

 

“Tulipomfanyia vipimo akagundulika alipata hilo tatizo, na akapewa wiki mbili za mapumziko ambayo yanatarajia kumalizika wiki ijayo.

 

“Kuhusiana na Carlinhos naye alichanika msuli katika mchezo wetu dhidi ya Namungo kutokana na kuutanua msuli kuliko inavyotakiwa ‘over stretch’, ambapo naye alipewa wiki mbili za mapumziko pamoja na matibabu ili kupona kabisa.”

Stori: Joel Thomas, Dar es Salaam

The post Kinachowatesa Carlinhos, Yassin Chatajwa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz