Kikosi Cha Yanga Chatinga Bungeni, Dodoma -(Picha +Video)-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi Cha Yanga Chatinga Bungeni, Dodoma -(Picha +Video)-Michezoni leo

KIKOSI cha Yanga leo Mei 18 kimewasili salama makao makuu ya Tanzania, Dodoma na kupata fursa ya kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kuna vikao vya Bunge ambavyo vinaendelea.

Yanga ilianza safari leo Mei 18 asubuhi kuibukia Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania, unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, kesho Mei 19 majira ya saa 10:00 jioni.

Kupitia ukurasa wao rasmi wa Isntagram, Yanga waliandika namna hii:”Timu ya mabingwa wa kihistoria ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,”.

The post Kikosi Cha Yanga Chatinga Bungeni, Dodoma -(Picha +Video) appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz