Kauli ya Ramos Baada ya Kutemwa Kikosi cha Taifa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kauli ya Ramos Baada ya Kutemwa Kikosi cha Taifa-Michezoni leo

Hatimaye Luis Enrique amepanga kikosi chake cha Timu ya Taifa ya Hispania kuelekea michuano ya Euro 2020 inayotarajiwa kuanza Juni 11, 2021 huku akimtema nahodha wa timu hiyo, Sergio Ramos.

“Baada ya msimu mrefu wa mapambano na ugumu nakiri kuwa nimepitia mengi magumu na hili la Euro linaingia.

“Nimepambana kama ilivyo siku zote kwa mwili na nafsi yangu ili nirejee kwenye ubora wangu kwa 100% kwa ajili ya klabu na timu yangu ya Taifa ila sio kila muda mambo huwa vile tunadhani.

“Imeniuma sikuweza kuisaidia Real Madrid na kuipambania timu yangu ya Taifa, lakini sina budi kupumzika ili kurejea vyema kwa ajili ya klabu na Taifa langu.

“Kutoka moyoni nawatakia kheri Wachezaji wenzangu wa timu ya Taifa, nami nitakuwa nyumbani kuishangilia timu kama Watu wengine, kila la kheri Hispania,” amesema Sergio Ramos, Nahodha wa Real Madrid na Mchezaji wa Hispania.

The post Kauli ya Ramos Baada ya Kutemwa Kikosi cha Taifa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz