KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui FC jioni ya leo Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.
Pongezi kwa mfungaji wa mabao yote hayo, kiungo Deus David Kaseke dakika ya 25 na 57 na kwa ushindi huo, Yanga SC watakutana na Biashara United iliyoitoa Namungo FC juzi.
Robo Fainali za mwisho za michuano hiyo, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitachezwa kesho kati ya Rhino Rangers na Azam FC hapo hapo Kambarage na Simba SC ma Dodoma Jiji FC Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Simba SC ndio mabingwa wa mataji yote kwa sasa nchini, pamoja na ASFC mengine ni ya Ligi Kuu ya Ngao ya Jamii.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz