Kariakoo Dabi… Yanga Yafunika kwa Mauzo ya Jezi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kariakoo Dabi… Yanga Yafunika kwa Mauzo ya Jezi-Michezoni leo

KUELEKEA katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga, Yanga imeongoza kwa mauzo kuliko Simba. Mchezo huo wa heshima wa kufunga msimu unatarajiwa kupigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa saa 1 usiku.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, muuzaji wa duka la jezi linalomilikiwa na Kassim Dewji, Rukia Mohamed alisema kuwa: “Kiukweli mauzo ya jezi yameshuka sana kwa kipindi hiki kuelekea katika dabi.

 

“Unajua tabia za mashabiki wa Simba ni kwamba pale msimu unapoanza mauzo ndio yanakuwa makubwa lakini baada ya hapo hakuna biashara.

 

“Hii inatokana na baadhi ya watu kutoa jezi feki ambazo zinauzwa kwa bei nafuu, hivyo mtu anaona kuliko akanunue jezi kwa bei ya shilingi elfu 35 ni bora anunue ya elfu 15,” alisema Rukia.

 

Aidha, kwa upande wa muuzaji wa jezi za Yanga katika duka lililopo katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani, Rukia Salum alisema kuwa: “Mauzo ya jezi kwa wiki hii yamepanda kwa kiasi kikubwa.

 

“Siku zingine tulikuwa tunauza jezi 15 mpaka 30 kwa siku lakini kadri siku zinavyoenda mauzo yanapanda na kwa sasa tunauza mpaka zaidi ya jezi 100 kwa siku.”

LEEN ESSAU, Dar es Salaam

The post Kariakoo Dabi… Yanga Yafunika kwa Mauzo ya Jezi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz