Kaizer Chiefs Yamfukuza Kocha Wake-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kaizer Chiefs Yamfukuza Kocha Wake-Michezoni leo

Kaizer Chiefs imevunja mkataba wa aliyekuwa kocha wake Gavin Hunt. Kocha huyo alijiunga na Kaizer Chiefs September 2020 na kuifundisha timu hiyo katika msimu wa 2020/21.

Hunt akiwa kocha wa Amakhosi aliiongoza timu hiyo kwenye mechi rasmi 44 kwenye mashindano yote. Ameshinda mechi 12, Sare 17, amepoteza 15.

Katika kipindi hiki Makocha wasaidizi Arthur Zwane na Dillon Sheppard wataiongoza timu.

The post Kaizer Chiefs Yamfukuza Kocha Wake appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz