KAGERA SUGAR YAITANDIKA RUVU SHOOTING 3-1 KAITABA NA KUJIONDOA ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

KAGERA SUGAR YAITANDIKA RUVU SHOOTING 3-1 KAITABA NA KUJIONDOA ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 14, Erick Mwijage dakika ya 40 na Ally Nassor dakika ya 70, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Moses Shaaban dakika ya 34,
Kwa ushindi huo, Kagera Sugar imefikisha pointi 33 baada ya kucheza mechi 30 na kusogea nafasi ya 11 kutoka ya 17, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 37 za mechi 29 sasa katika n
afasi ya nane.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz