JKT TANZANIA YAWATANDIKA GWAMBINA FC 1-0 LEO MISUNGWI KATIKA MECHI YA LIGI KUU BARA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

JKT TANZANIA YAWATANDIKA GWAMBINA FC 1-0 LEO MISUNGWI KATIKA MECHI YA LIGI KUU BARA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BAO pekee la Edson Katanga dakika ya 14 leo limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Gwambina FC Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza.
Kwa ushindi huo, JKT Tanzania imefikisha pointi 33 baada ya kucheza mechi 29 na kusogea nafasi ya 12, wakati Gwambina FC inabaki na pointi zake 30 za mechi 28 sasa katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 18.
Ikumbukwe timu nne zitashuka moja kwa moja mwishoni mwa msimu na mbili zitakwenda na timu za Daraja la Kwanza kuwania kubaki Ligi Kuu.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz