Irene Paul "Natamani Tumpigie Kura Diamond Ashindi Alafu Mengine Tutajadili Baadae" - EDUSPORTSTZ

Latest

Irene Paul "Natamani Tumpigie Kura Diamond Ashindi Alafu Mengine Tutajadili Baadae"

''TANZANIA YETU.....LETS VOTE Ifike mahali tuthamini juhudi za mtu binafsi katika kuleta heshima kwa taifa letu na tuache mengine yote pembeni,hebu tufikie stage kukubali kwamba at the end of the day huyu ndio "NEMBO NA KINARA" ya mziki wa Tanzania kwa sasa.

Sikatai na wala sipingi kuwa kuna wengi wazuri zaidi yake na kuna wanaofanya vizuri lakini haitatosha kumvua #platnumz heshima aliyotuletea kama Tanzania pamoja na mengine yote yanayoendelea,WENGI WATAFUATA LAKINI NI BAADA YA YEYE KUCHORA RAMANI YA JINSI INAVYOFANYIKA.

Ninatamani tumpigie kura kwanza huko kwa #BET then turudi nyumbani tuongee tunayojisikia maana at the end of the day tutakuwa tumeshatambulika zaidi na kujulikana kama Tanzania. LETS VOTE and VOTE and VOTE again....tupeperushe Tanzania yetu. N.B :jamani kwa wale wa ma team na maneno machochezi post hii haiwahusu🙏🏼 '' @irenepaul001Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz