Ibraah wa Konde Gang Amkana Mrembo Nanah Aliyemchora Tattoo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ibraah wa Konde Gang Amkana Mrembo Nanah Aliyemchora TattooNi 'headlines' za msanii Ibraah kutoka Konde Music Wordwide ambaye amekana kuwa kwenye penzi na msanii wa filamu na video vixen Nanah aliyechora tattoo yenye jina lake shingoni.

Akizungumzia hilo kupitia Kamera ya EATV & EA Radio Digital, Ibraah amesema kuchorwa tattoo na mrembo huyo haihusiani kwamba ndio wapo kwenye mahusiano bali kilichokuwepo kwao ni upendo na urafiki.

"Nanah sio mtu wangu ni rafiki yangu na ana mahusiano yake, kuhusu tattoo kila mtu anaamua kuchora, nilivyomuona nilimuuliza akasema amependa tu kuchora jina la Ibraah kwa sababu mimi ni mtu wake wa karibu na nina umuhimu kwake, mbona kuna watu wengi wamenichora ila wanamsema Nanah tu" amesema Ibraah 

Pia ameendelea kusema urafiki wao kwa sasa una muda wa miezi 6 na kinachoendelea kati yao ni upendo tu.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz