Hivi Ndivyo Makka ilivyombadilisha Ommy Dimpoz - EDUSPORTSTZ

Latest

Hivi Ndivyo Makka ilivyombadilisha Ommy Dimpoz

Safari ya mjini Makka nchini Saudia Arabia ya siku kadhaa alizozitumia msanii Ommy Dimpoz kwa ajili ya ibada inawezekana kuwa imebadilisha kwa kiasi kikubwa mtindo wa maisha kwa msanii huyo.

Dimpoz tangu amerejea nchini ameonekana kuwa tofauti kuanzia muonekano wake wa mavazi na jumbe ambazo amekuwa aki-share kwenye mitandao yake ya kijamii ukilinganisha na hapo awali kabla hajaenda kuungana na waumini mbalimbali wakiislamu duniani kote kufanya ibada ya Umrah mwezi Mei 9.

Moja ya ujumbe wake unasema; ‘Tusichoke kumuomba na kumtegemea Mwenyezi Mungu kila kitu kinawezekana chini ya Jua’.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz