HARUNA MOSHI 'BOBAN' NA WENGINE 46 WASHIRIKI KOZI YA FIFA YA UFUNDISHAJI WA SOKA KWA VIJANA KARUME-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

HARUNA MOSHI 'BOBAN' NA WENGINE 46 WASHIRIKI KOZI YA FIFA YA UFUNDISHAJI WA SOKA KWA VIJANA KARUME-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Haruna Moshi Shaaban 'Boban' ni miongoni mwa makocha wanaohudhuria Kozi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ya ufundishaji soka kwa vijana, maarufu kama Grassroots inayoendelea makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam. 
Pamoja na Boban, mchezaji wa zamani wa Moro United, Simba, Coastal Union, Mbeya City na Yanga jumla ya washiriki 47 wanahudhuria Kozi hiyo ya mafunzo kwa vitendo ya siku tano inayoendeshwa Mkufunzi wa FIFA, Raymond Gweba.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz