FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 
KOCHA mzoefu, Freddy Felix Kataraiya Minziro ameteuliwa Kocha Bora wa msimu wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kuiwezesha timu yake, Geita Gold kutwaa ubingwa wa ligi hiyo.
Geita Gold ilitawazwa kuwa bingwa wa ligi hiyo jana baada ya jana kuifunga Mbeya Kwanza 1-0 katika fainali ya Ligi Daraja la Kwanza Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na Minziro kuwa kocha Bora, wachezaji wa Geita Gold, Geoffrey Julius amekuwa Mchezaji Bora na John Mwanda amekuwa Kipa Bora.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz