Feza Kessy ala shavu kwa D'Banj, Awa Msanii wa Kwanza - EDUSPORTSTZ

Latest

Feza Kessy ala shavu kwa D'Banj, Awa Msanii wa Kwanza

Mshiriki wa zamani wa mashindano ya urembo na Big Brother Africa Housemate Feza Kessy ame-sign dili la usimamizi wa kazi zake za muziki  na lebo “DB Records” ya mkongwe D’banj kutoka Nigeria. 

Mtanzania huyo amekaribishwa leo kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa Bangalee na lebo hiyo na anakuwa msanii wa kwanza wa kike.

Feza aliyekuwa Miss Dar City Centre na Miss Ilala mwaka 2005, alifanya vizuri na nyimbo kama “Amani ya Moyo na My papa” huku kiwataja wasanii Toni Braxton, Rihanna, Lauren Hill, Tiwa Savage na 2 Face kuwa ndio wanamvutia sana.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz