Fainali ya UEFA Kupigwa Ureno-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Fainali ya UEFA Kupigwa Ureno-Michezoni leo

NYON, Uswisi: SHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu kati ya Chelsea na Manchester City itapigwa katika Uwanja wa Dragao, jijini Porto, Ureno Mei 29, mwaka huu.

 

Fainali hizo kwa sasa zitapigwa katika uwanja huo ambao hutumiwa na Klabu ya FC Porto na wataruhusiwa mashabiki 6000 kuingia na uwanja unawezo wa kubeba mashabiki 50,035.

 

Awali fainali hizo zilipagwa kufanyijika Istanbul, Uturuki katika Uwanja wa Ataturk ila ilishindikana kutokana na masuala ya janga la virusi vya corona. Kwa maana hiyo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo itapigwa ndani ya Ureno.

 

Msimu uliopita fainali ilichezwa katika Uwanja wa Da Luz, Lisbon wakati Bayern Munich ikitwaa ubingwa dhidi ya Paris Saint Germain. Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin alisema:

 

“Kwa mara nyingine tumerudi kwa rafi ki zetu Ureno wametusaidia shukrani kwa chama cha soka cha Ureno pamoja na serikali kuweza kutupa nafasi tena kwa muda mfupi tu kwa kulifanikisha hili.

 

“Tulipitia vikwazo vingi, lakini tumefanikiwa kumaliza hilo, baaada ya mwaka sasa mashabiki watafanikiwa kuangalia timu zao zikicheza katika fainali ya UEFA safari hii.”

The post Fainali ya UEFA Kupigwa Ureno appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz