DRFA YAYAZUIA MASHINDANO YA KOMBE LA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN BAADA YA WAANDAAJI KUIENGUA BIN SLUM FC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

DRFA YAYAZUIA MASHINDANO YA KOMBE LA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN BAADA YA WAANDAAJI KUIENGUA BIN SLUM FC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 CHAMA cha SOKA Dar es Salaam (DRFA) kimeyasimamisha mashindano ya Kombe la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, maarufu kama Ramadhani Cup baada ya waandaaji kukiuka maagizo waliyopewa.
DRFA iliagiza mechi ya Nusu Fainali kati ya Bin Slum na Afro Oil iliyovunjika irudiwe, lakini waandaaji wakakaidi agizo hilo.
Bin Slum walituhumiwa kuwa chanzo cha vurugu zilizovunja mchezo na kuondolewa mashindanoni huku Afro Oil wakipelekwa fainali.

Fainali ilipangwa kufanyika jana kati ya Silent Ocean na Afro Oil, lakini Jeshi la Polisi likazuia wakiwataka waandaaji wafuate agizo la DRFA.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz