Conte Aachana na Inter Milan-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Conte Aachana na Inter Milan-Michezoni leo

MABINGWA wa Italia klabu ya Inter Milan italazimika kumlipa Antonio Conte kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 19.8 kama fidia baada ya kusitisha mkataba.

Conte na Inter wamefikia makubaliano ya kusitisha mkataba baada ya kutofautiana kwenye usajili kwenye timu hiyo, anaondoka kwenye Klabu hiyo akiwa amewapa ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ya Italia (Escudetto) baada ya miaka 11.

Inter Milan walitaka kuuza wachezaji kutokana na changamoto za kiuchumi huku Conte akitaka aongezewe wachezaji ili awanie ubingwa tena wa ligi na Ligi ya Mabingwa (Uefa).

The post Conte Aachana na Inter Milan appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz