COASTAL UNION WAJIWEKA PAGUMU BAADA YA KUCHAPWA MECHI YA TATU MFULULIZO LIGI KUU, TENA MKWAKWANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

COASTAL UNION WAJIWEKA PAGUMU BAADA YA KUCHAPWA MECHI YA TATU MFULULIZO LIGI KUU, TENA MKWAKWANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI Coastal Union leo wamechapwa 1-0 na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Bao pekee la Polisi Tanzania leo limefungwa na Deusdedit Cossmas dakika ya 52 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 41 baada ya kucheza mechi 30, ingawa wanabaki nafasi ya sita wakizidiwa wastani wa mabao na KMC.
Coastal Union ambao leo wamepoteza mechi ya tatu mfululizo ya Ligi Kuu na ya nne jumla baada ya kutewa pia kwenye Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wanabaki na pointi zao 33 katika mechi ya 29 sasa katika nafasi ya 13.
Ikumbukwe timu zitakazoshika nafasi ya 13 na 14 zitakwenda kumenyana na washindi wa pili wa makundi Daraja la Kwanza kuwania kubaki Ligi Kuu, wakati ya 15 hadi 18 zitashuka moja kwa moja.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz