CHELSEA YAICHAPA REAL MADRID 2-0 NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CHELSEA YAICHAPA REAL MADRID 2-0 NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI, Chelsea wamefanikiwa kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Madrid usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na Timo Werner dakika ya 28 na Mason Mount dakika ya 85 na kwa matokeo hayo, The Blues inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Jijini Madrid.
Sasa Chelsea itakutana na Manchester City katika fainali ya timu za England Mei 29 Uwanja wa Atatürk Olimpiyat Jijini İstanbul nchini Uturuki.

Manchester City yenyewe imefika fainali baada ya kuitoa PSG ya Ufaransa kwa jumla ya 4-1, ikishinda 2-1 Paris wiki iliyopita na 2-0 Uwanja wa Etihad jana.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz