CHELSEA YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 DARAJANI NA KUPANDA NAFASI YA TATU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CHELSEA YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 DARAJANI NA KUPANDA NAFASI YA TATU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI, Chelsea wameichapa Leicester City mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijiji London jana.
Mabao ya Chelsea yalifungwa na Antonio RΓΌdiger dakika ya 47' na Jorginho kwa penalti dakika ya 66, wakati la Leicester lilifungwa na Kelechi Iheanacho dakika ya 76.
Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 67, moja zaidi ya Leicester na kupanda nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi nne na Manchester United baada ya wote kucheza mechi 37.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz