CEO wa Label ya MAVIN Records Donjazzy Aibuka na Kumtetea Diamond Platnumz "Diamond ni Tajiri Kuliko Walichotaja Forbes" - EDUSPORTSTZ

Latest

CEO wa Label ya MAVIN Records Donjazzy Aibuka na Kumtetea Diamond Platnumz "Diamond ni Tajiri Kuliko Walichotaja Forbes"

CEO wa Label ya #MavinRecords @donjazzy kutokea nchini Nigeria 🇳🇬 anaungana na @diamondplatnumz kuwalaani @forbes kwa orodha yao walioitoa hivi karibuni ya Mastaa wenye Mkwanja Mrefu zaidi Afrika

Kupitia ukurasa wa instagram wa @diamondplatnumz leo amewatolea uvivu jarida hilo la @forbes kwa kuchapisha ujumbe ulioashiria kutoridhishwa na list iliyoripotiwa hivi karibuni na vyombo vya habari mbalimbali vikilihusisha jarida hilo

Hivyo #Donjazzy kupitia Post hiyo ame-comment maneno yalioashiria kuungana na star @diamondplatnumz katika kuwakemea @forbes

"Tell them Baba lao" ✍️....@donjazzy

"He is difinitely richer than that" ✍️...@donjazzy

Pia mastaa kibao kama vile @thisiswurld @officialpraiz na wengine wameonesha kumuunga mkono staa huyu kwenye post hiyo
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz