Bosi wa Sarpong Afunguka Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bosi wa Sarpong Afunguka Yanga-Michezoni leo

MENEJA wa mshambuliaji wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, Alex Kamanzi raia wa Rwanda ameibuka na kusema kuwa hana presha yoyote juu ya mwenendo wa mchezaji wake katika timu hiyo kwa kuwa hata waajiri wake hana walichomweleza hadi kuhusu mustakabali wake.

 

Sarpong mpaka sasa katika ligi kuu amefanikiwa kufunga mabao saba pekee licha ya kuwa na rekodi kubwa kabla ya kutua Yanga kutokana na kufunga mabao 23 katika Ligi Kuu ya Rwanda akiwa na Rayon Sport.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Kamanzi alisema kuwa kwa upande wake hana presha yoyote licha ya mteja wake kushindwa kuwa na kiwango kizuri cha kufunga mabao katika timu hiyo kwa kuwa bado hawajaelezwa chochote hadi sasa.

 

“Unajua hakuna ambacho tumeelezwa na Yanga hadi sasa hivyo tunaendelea kusubiri kwa sababu ndiyo jambo jema kwetu haijalishi kuna presha kiasi gani kutoka katika upande wa mashabiki ndiyo maana tunasubiri kuona itakuwaje baadaye.

 

“Kikubwa tunamuomba juu ya kuwepo kwa presha ila aweze kupata nafasi na pia imekuwa nzuri kwa kuwa hayupo kwenye majeruhi yoyote, naamini anapitia kipindi cha mpito ambacho atakaa sawa tofauti na inavyochukuliwa na wangine,” alisema Kamanzi.

STORI: IBRAHIM MUSSA, Dar es Salaam

The post Bosi wa Sarpong Afunguka Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz