Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito-Michezoni leo

Bondia wa Puerto Rico aliyepigana katika michezo ya Olimpiki ya London mwaka 2012 ameshtakiwa kwa kumteka na kumuua mpenzi wake aliyekuwa mjamzito.

 

Félix Verdejo anatuhumiwa kwa kumshambulia na kumuua Keishla Rodríguez kisha kuutupa mwili wake chini ya daraja karibu na San Juan,mji mkuu wa eneo hilo la kisiwani lilipo chini ya himaya ya Marekani.

 

Alijisalimisha kwa polisi siku ya Jumapili baada ya kukataa kushirikiana na wachunguzi, polisi imesema. Kifo hicho kiibua maandamano kupinga mauji dhidi ya wanawake huko Puerto Rico.

 

Mwezi Januari, kisiwa hicho kilitangaza hali ya hatari kufuatia dhulma dhidi ya wanawake. Puerto Rico huripoti angala kisa kimoja cha mauji ya mwanamke kila wiki, kwa mujibu wa kundi la kutetea haki nchini, huku visa vingine 60 vy auhalifu wa aina hiyo vikiripotiwa mwaka jana.

 

Bondia huyo mwenye umri wa miaka 27- anakabiliwa na mashtaka ya utekaji, wizi wa gari ulisababisha kifo na kuua kwa kukusudia mtoto ambaye hajazaliwa.

The post Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz