Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo-Michezoni leo

JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kikosi bora jambo ambalo linawafanya wawe na imani ya kupata matokeo mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Mei 15.

 

Bocco alikuwa ni miongoni mwa wachezaji 24 ambao walikwea pipa jana kuelekea Afrika Kusini kwa kupita Kenya kwa Shirika la Ndenge la Kenya Airways aliliambia Championi Jumatano wana imani ya kufanya vizuri.

Ni Mei 15, Uwanja wa SA FNB Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye robo fainali ya kwanza na ile ya pili itachezwa Mei 22, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 

Bocco alisema: “Tuna kikosi imara kwa sasa na kila mchezaji anapenda kuona timu inapata matokeo hivyo tunawafuata wapinzani wetu tukiamini kwamba tunakwenda kusaka ushindi, mashabiki watuombee.

 

Malengo yetu kushinda ili tuweze kufikia malengo ambayo tulikuwa tumejiwekea tangu mwanzo wa msimu hilo linawekezana kwani wachezaji tumekuwa tukifuata yale maelekezo ambayo tunapewa na benchi la ufundi,”

Stori: Lunyamadzo Mlyuka, Dar es Salaam

The post Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz