BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA DODOMA JIJI FC KATIKA LIGI KUU LEO MUSOMA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA DODOMA JIJI FC KATIKA LIGI KUU LEO MUSOMA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI Biashara United wamelazimishwa sare ya 1-1 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.
Biashara United walitangulia kwa bao la mapema tu la Lenny David Kisu dakika ya 17, kabla ya Seif Abdallah Karihe kuisawazishia Dodoma Jiji dakika ya 47.
Kwa matokeo hayo, Biashara United wanafikisha pointi 45 baada ya kucheza mechi 29, ingawa wanabaki nafasi ya nne, wakati Dodoma Jiji sasa wana pointi 39 za mechi 29 katika nafasi ya saba.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz