BIASHARA UNITED YAITWANGA NAMUNGO FC 2-0 MUSOMA NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BIASHARA UNITED YAITWANGA NAMUNGO FC 2-0 MUSOMA NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Biashara United imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Namungo FC jioni ya leo Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.
Mabao ya Biashara United yamefungwa na Mpapi Nasibu dakika ya tisa na Kelvin Friday kwa penalti dakika ya 39 na sasa watasubiri mshindi kati ya Mwadui FC na Yanga zinazomemyana keshokutwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga wakutane naye katika Nusu Fainali.
Mechi nyingine za Robo Fainali zitachezwa Jumatano kati ya Rhino Rangers ya Tabora na Azam FC Uwanja wa Kambarage, Shinyanga na Simba SC na Dodoma Jiji Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz