BARCELONA YAPIGWA, REAL NA ATLETICO MADRID ZASHINDA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BARCELONA YAPIGWA, REAL NA ATLETICO MADRID ZASHINDA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI, Barcelona wamechapwa 2-1 na Celta de Vigo katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou.
Barcelona ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Lionel Messi dakika ya 28, kabla ya Santi Mina kuisawazishia Celta Vigo dakika ya 38 na kufunga la ushindi dakika ya 89.
Celta Vigo imefikisha pointi 53 katika nafasi ya nane na Barcelona inabaki na pointi zake 76 katika nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi 37.


Mechi nyingine la La Liga bao pekee la Nacho dakika ya 68 limeipa Real Madrid ushindi wa 1-0 dhidi ya Athetic Bilbao Uwanja wa San Mamรฉs Barria.
Nayo Atletico Madrid imeshinda 2-1 dhidi ya Osasuna Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid.
Mabao ya Atletico yamefungwa na Renan Lodi dakika ya 82 na  Luis Suรกrez dakika ya 88, baada ya  Ante Budimir kuwatunguliza Atletico dakika ya 75.
Atletico Madrid sasa inaongoza La Liga kwa pointi zake 83, ikifuatiwa na Real Madrid pointi 81 baada ya wote kucheza mechi 37.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz