Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga-Michezoni leo

 

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amefunguka kuwa watafanya kila namna leo, Yanga afe pale kwa Mkapa kwani hakutakuwa na raha ya kuchukua ubingwa pasipo kumfunga mtani wao huyo.

 

Barbara alisema anaamini kwa asilimia 100 kuwa ushindi utapatikana kwani morali na ari ya wachezaji ipo juu sana na wao kama viongozi wameshamaliza majukumu yao, hivyo kilichobaki ni wachezaji kumaliza kazi ndani ya uwanja.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Barbara alisema kuchukua ubingwa ukiwa umemfunga mtani kunakuwa na raha na furaha ya kitofauti, hivyo ubingwa wao wa msimu huu hautakuwa na maana kama watafungwa au kutoka sare na Yanga.

 

 

“Raha ya ubingwa ni kumfunga mtani, kutakuwa hakuna raha kama tutashindwa kuwafunga Yanga, binafsi naamini ushindi upo kwani ari na morali kwa wachezaji ipo juu sana na sisi viongozi tushakamilisha majukumu yetu,” alisema Barbara.

 

Leo Jumamosi Uwanja wa Mkapa utafunikwa na shangwe la jezi za njano na nyekundu pale ambapo Simba watakuwa wenyeji wa Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu ikiwa ni wa duru ya pili.

Stori na ISSA LIPONDA, Dar es Salaam

The post Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz