Baraza: Simba Itafanya Maajabu Dar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Baraza: Simba Itafanya Maajabu Dar-Michezoni leo

KOCHA Mkuu wa Kagera United ya mkoani Kagera, Francis Baraza amesema kuwa Simba wana nafasi kubwa ya kupindua matokeo kwenye mchezo wa marudiano hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kupigwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa.

 

Simba ina kazi kubwa ya kupindua matokeo kwenye mchezo huo ambapo ilikubali kipigo cha mabao 4-0 kwenye mchezo wa kwanza ulipigwa nchini Afrika Kusini kikiwa ni kipigo kikubwa kwa timu hiyo msimu huu kwenye mashindano yote.

“Kwenye mpira chochote kinawezekana, Simba wanayo nafasi kubwa ya kupindua matokeo dhidi ya Kaizer kutokana na rekodi yao wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani pia aina ya wachezaji walio nao kikosini.

 

“Wachezaji kama Chama, Luis, Morrison na Mugalu ni baadhi ya wachezaji ambao wanaweza kukupa matokeo muda wowote kutokana na uwezo wao mkubwa walionao, kikubwa waingie kwa tahadhari kubwa kuhakikisha hawaruhusu bao la mapema kama ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza,” alisema Baraza.

 

Simba wataingia kwenye mchezo huo wakiisaka rekodi yao ya mwaka 1979 ambapo walifanikiwa kupindua meza ugenini baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mufulira Wanderers ya Zambia.

The post Baraza: Simba Itafanya Maajabu Dar appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz