Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi

Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na kujinyonga mpaka kufa, baada ya kugundulika ameathirika na Virusi vya Ukimwi peke yake huku mkewe akiwa hajaathirika.

Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Geita Henry Mwaibambe, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mwanaume huyo aliamua kufanya vitendo hivyo mara baada ya yeye kwenda kliniki na mke wake na ndipo alipogundulika kama ni mwathirika wa ugonjwa huo.

"Mtoto amepata jeraha kubwa tumboni na amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Geita, huyu mwanaume alikuwa anakaa kwa mwanamke na mwanamke alimuomba ruhusa kwenda nyumbani kusalimia sasa tunadhani huyu mwanaume alihisi anaenda kuwaambia wazazi wake ili aachwe kwa sababu mwanaume alikuwa hana kazi ya maana", amesema Kamanda Mwaibambe.

Aidha kamanda Mwaibambe amewaasa wananchi kutoa taarifa juu ya vitendo vya kikatili vinavyotokea ndani ya familia ili kuvikomeshaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz