AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITANDIKA RHINO RANGERS 3-1 LEO UWANJA WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITANDIKA RHINO RANGERS 3-1 LEO UWANJA WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora jioni ya leo Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mabao ya Azam FCna sasa wanasubiri mshindi kati ya Simba vs Dodoma Jiji, itakayoanza saa 1:00 usiku wa leo. 
Ayoub Lyanga dakika ya 34, Agrey Morris kwa penalti dakika ya 65 na Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 81, wakati la Rhino limefungwa na Selemani Abdallah dakika ya 32.


Sasa Azam FC inasubiri mshindi wa mchezo kati ya mabingwa watetezi, Simba SC na Dodoma Jiji FC zinazomenyana usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikutane katika Nusu Fainali Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mwezi ujao.
Nusu Fainali nyingine ni kati ya Biashara United ya Mara na Yanga SC ya Dar es Salaam itakayopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz