AY "Kutoa Wimbo Bongo Kama Unaomba VISA ya North Korea si Sawa" - EDUSPORTSTZ

Latest

AY "Kutoa Wimbo Bongo Kama Unaomba VISA ya North Korea si Sawa"

Ikiwa Bado Kuna Mdahalo Mrefu sana Kuhusu Kazi za Wasanii Kupitiwa na Baraza la Sanaa Nchini Tanzania (BASATA) Kabla Hazijatoka

Wasanii wameanza Kulivalia njuga Swala Hili na Wengi wakiwa hawajaunga Mkono kwa kuandika Katika Mitandao ya Kijamii na Kuzungumza Katika Vyombo vya Habari

Baada ya @mwanafa Kuandika Ujumbe Akipingana na Swala Hili ... @aytanzania na yeye ameandika Ujumbe Katika Comment ya Post ya Mwana FA akiongezea kuwa BASATA Wamekua na Tabia ya Kukagua Nyimbo za Wasanii wa ndani tu na Nyimbo za Nje Kuendelea Kupewa Airtime kwenye Media

Hivyo anapingana pia na Utaratibu Huu Mpya akisisitiza kuwa Sio Sawa na Sio Haki kwa Msanii kutoa Wimbo kama Anafuatilia Maombi ya Visa ya North Korea

@aytanzania ameandika Kuwa 👇🏽

Basata wanakagua nyimbo za Tanzania peke yake tu na kuruhusu zingine za nje ya Bongo zipigwe hewani au? Kutoa wimbo kama unaomba Viza ya North Korea bwana SIO SAHIHI NA SI HAKI njia mbadala zipo nyingi tuJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz