Yanga Yaichapa Prisons, Yatinga Robo Fainali-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yaichapa Prisons, Yatinga Robo Fainali-Michezoni leo

GOLI pekee la mshambuliaji  Yacouba Songne dakika ya 54’ dhidi ya Tanzania Prisons limeipeleka Yanga kwenye hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam ASFC mchezo uliochezwa leo Aprili 30 kwenye uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.

Licha ya Yanga kuihitaji ushindi huo na kutinga robo fainali lakini pia ushindi huo utaongeza morali ya timu hiyo kabla ya kuvaana watani wa Jadi Simba Mei 8, kwenye dimba la  Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Kesho Mei mosi, Simba itashuka dimbani kucheza na Kagera Sugar kwenye hatua ya 16 bora ya kombe hilo, huku wakisaka nafsi ya kutinga robo Fainali.

The post Yanga Yaichapa Prisons, Yatinga Robo Fainali appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz