Yanga Yafanyia Kazi Mapungufu Yake, Sasa ni Kipigo Kila Nayekuja – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yafanyia Kazi Mapungufu Yake, Sasa ni Kipigo Kila Nayekuja – Video-Michezoni leo

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, Jumamosi iliyopita aliiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kukabidhiwa mikoba, akaambulia sare ya 1-1 dhidi ya KMC.

 

 

Sasa baada ya mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Mwambusi amesema atafanya mabadiliko makubwa ya kikosi chake katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho, uwanjani hapo.

 

“Tumeshafanyia Kazi mapungufu yaliyojitokeza kwenye mchezo uliyopita na tupo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Biashara United, mkakati wetu katika mechi kumi (10) zilizobakia ni kuvuna alama tatu (3) kwenye kila mchezo,” amesema Mwambusi.

 

Mwambusi ambaye anaiongoza Yanga baada ya Kocha Cedric Kaze kutimuliwa Machi 7, mwaka huu, amezitaja sehemu ambazo zimeonekana kuwa na matatizo sugu kwamba ni safu ya ulinzi na ushambuliaji.

 

The post Yanga Yafanyia Kazi Mapungufu Yake, Sasa ni Kipigo Kila Nayekuja – Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz