YANGA SC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA KMC MECHI YA LIGI KUU LEO DAR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA SC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA KMC MECHI YA LIGI KUU LEO DAR-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 

VINARA, Yanga SC wameendelea kushusha matumaini ya ubingwa baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar sa Salam.
KMC walitangulia kwa bao la Bryson David dakika ya 29, kabla ya Mburkina Fasso, Yacouba Sogne kuisawazishia Yanga SC dakika ya 46.
Kwa matokeo hayo, Yanga SC inafikisha pointi 51 baada ya kucheza mechi 24 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi nne zaidi ya Azam FC ambayo hata hivyo imecheza mechi moja zaidi.
Mabingwa watetezi, Simba wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 46 baada ya kucheza mechi 20 tu.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, Dodoma Jiji FC imewachapa wenyeji, Tanzania Prisons 1-0, bao pekee la Dickson Ambundo dakika ya 55 Uwanja wa Samora, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Nayo Gwambina FC imeitandika Coastal Union 4-0, mabao ya Meshack Abraham dakika ya tisa, Paul Nonga dakika ya 31, Rajab Athumani dakika ya 37 na Jimson Mwanuke dakika ya 75 Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz