Wanafunzi wa shule za sekondari Kenya walala uwanjani lockdown ya Corona - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanafunzi wa shule za sekondari Kenya walala uwanjani lockdown ya Corona
Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho.Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo kuelekea makwao.

Rais Uhuru Kenyatta alitangaza amri ya kukaa nyumbani katika kaunti 5 ukiwemo mji wa Nairobi ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

Amri hiyo inatekelezwa ikiambatana na amri ya kutotoka nje usiku kuanzia saa mbili usiku hadi saa kumi alfajiri.

Vituo vya habari nchini humo vimekua vikitopa taarifa kuhusu namna wanafunzi hao walivyohangaika kupata usafiri na jinsi amri ya kutotoka nje ilivyoathiri usafiri na shughuli mbalimbali mjini Naiirobi .

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.